Plot for sale at Goba, Dar Es Salaam


*APARTMENTS 3 zinauzwa Milioni 65 maongezi yapošZipo Goba centar* Dar es salaam - Tanzania
*Distance* Kutoka main road ni Meter 600
āKila Apartment ina chumba master sitting room na jiko
āMaji na umeme kila mpangaji anajitegemea
āApartment zipo ndani ya fensi kila Mpangaji analipa Kodi laki (250,000) kwa mwezi
āMakusanyo ya kodi kwa mwezi kwa wapangaji wote ni laki (750,000) Kwa mwaka mzima ni milioni (9000,000)
āApartments zote 3 zimejaa wapangaji
āPlot size Sqmt 400
āDocument Sales agreement (Hati ya mauziano ya selikali za mitaa kiwanja kimepimwa Hati miliki itatoka kwa Jina la mteja atakae nunua)
*Bei shilingi milioni 65 maongezi yapo*