Plot for sale at Goba, Dar Es Salaam


Nyumba 4 za appartments ndani ya fensi moja yenye geti ziko Goba jirani na Makongo.
Ukubwa wa Kiwanja SQM 840. Kina hati jina la muuzaji.
Kila appartment ina vyumba 2 vya kulala ambavyo
ni self contained, Sebule, Jiko na choo cha wageni. Km. 2 kutoka barabara ya Lami Mti Pesa. Km 7 kutoka Mlimani City. Maji yapo muda wote. Nyumba zote zina wapangaji.
Walio na interest piga simu
zinataka 300M zina wapangaji na wanalipa 400,000 kwa mwezi
Material rosoi