Plot for sale at Goba, Dar Es Salaam


Kiwanja kinauzwa Goba kwa Awadh! 📍Ukubwa: 30x40m, umbali wa 1.5km kutoka stendi. Hati miliki za serikali mtaa.
Bei mil 35 maongezi yapo
Majirani wazuri, mazingira tulivu. Kuja kukagua kwa 45k. Maisha ni nyumba, nyumba ni kiwanja.
#KiwanjaGoba #KiwanjaKinauzwa #jengagoba #dalalisoso #dalalisosotabata