Plot for sale at Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA: GOBA NJIA NNE.
Vyumba 3, master zipo 2.
Sitting room, dining, kitchen, store and public toilet, ✅️
Nyumba ni mpya bado.
BEI: Million 250.
Nyumba ya kisasa nzuri sana inauwanja wakutosha.
Sqm 500
Umeme, maji, Na Ac vipo.
Hati ipo.
Kutoka lami meter 150 Tu.
Piga: 0754 587 611
: 0718 950 277