Plot for sale at Heka, Singida


NYUMBA ZINAUZWA (ZIKO NYUMBA KUBWA 2 NA VYUMBA VIWILI VYA NNJE VIWILI). ZOTE ZIKO KWENYE FENSI MOJA.
NYUMBA YA KWANZA: INA VYUMBA VINNE VYA KULALA (MASTER ZIKO 2), VYOO PUBLIC VIWILI VYA NDANI, SEBULE KUBWA SANA, DINING NA JIKO.
IMEPIGWA TILES, GYPSUM NA MADIRISHA VIOO.
NYUMBA YA PILI: INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA (MASTER 1), SEBULE NA JIKO, CHOO PUBLIC CHA NDANI, DIRISHA NI WAVU.
PIA KUNA VYUMBA VIWILI VYA NNJE KILA KIMOJA KINA CHOO CHAKE.
ENEO LILILOBAKI NI KUBWA SANA UNAWEZA ONGEZA NYUMBA NYENGINE KUBWA MBILI.
UKUBWA WA ENEO: KWA UJUMBA NI ROBO HEKA.
UMILIKI NI HATI YA MAUZIANO YA SERIKALI YA MTAA.
BEI NI MILIONI 110.
📍 PUGU KINYAMWEZI.. UMBALI NI MITA CHACHE SANA TOKA BARABARANI.
CONTACT 0614130017 0788156493