Plot for sale at Kibamba, Dar Es Salaam


KIWANJA CHENYE HATI, SQM.1,143,TSHS.60 MILIONI,LUGURUNI, KIBAMBA.
Hapa ni kilomita 1 tu kutoka Barabara ya Morogoro.
Hapa ni jirani na MAHAKAMA YA KIBAMBA.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Mtaa umejengeka vizuri.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_____________mpg