Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


PLOT FOR SALE /ENEO LENYE NYUMBA LINAUZWA
📍LOCATION : KISOTA , KIGAMBONI
📌Eneo lina nyunba n lenye vyumba vinne , kimoja master, sebule, dining na jiko
📌distance
-umbali ni km 4 tu kutoka darajani
-Pia kutoka ferry ni km 3
📌Eneo linafaa kwa makazi, biashara kama nyumba za kupangisha
UKUBWA ; #
🖇️ENEO LINA UKUBWA WA SQM 700
👉Dimensions (Mita 25 kwa mita 30) = Total Sqm 700
Asking price : MILLIONI 85 (negotiable)
Site vist : 20,000/Tsh payable once
INFO : +255629894547 or #0767894547☑️ (call /text /whatsapp)