Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


Repost dalali_hans_kigamboni
NYUMBA INAUZWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-KIGAMBONI KISIWANI
UMBALI KM 1 TOKA BARABARA KUU YA LAMI
UKUBWA WA KIWANJA SQM 500
NYARAKA ZA HATI YA WIZARA
NYUMBA MPYA YA KISASA
YA FAMILIA KUBWA
YENYE;
Vyumba viwili vya kulala kimoja wapo ni Master, Dinning, Sebule, Jiko zipo( 2) & Public Toilet
Pia kuna chumba sebule na jiko ( 1 )
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme x Maji vyote vipo
Cars Parking space ipo
Nje Pavingblocks
Securityfenced
TUNAPOSEMA NYUMBA MPYA TUNAMAANISHA HAIJAWAI KUISHI HATA MBU! ๐ฆ
BEI INAUZWA TSHS MIL 120
MAONGEZI YAPO PIA โ
๏ธ
KWA MAWASILIANO PIGA;
+255 0789226334
+255 0658728870
Swipe left