Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


TSHS MIL 120, NYUMBA INAUZWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-KIGAMBONI NHC ESTATES MWONGOZO
UMBALI TOKA FERRY KM 15 & KM 16 TOKA DARAJANI AMBAPO NI KM 1.5 TOKA BARABARA YA LAMI MPAKA KWENYE NYUMBA
UKUBWA WA ENEO LAKE NI SQM 378
NYARAKA ZA UMILIKI INA UNIT TITTLE (HATI)
NYUMBA NZURI YA KISASA
YA KIGHOROFA
YENYE;
Vyumba vitatu vya kulala kimojawapo ni Master, Sebule, Dinning yenye Open Kitchen, Stoo & Public Toilet 2 juu/chini
Gypsum, Tiles, Slides Windows
Umeme x Maji vyote vipo
Cars Parking space ipo
Nje Pavingblocks
Ulinzi masaa 24
ASSET NZURI KIBIASHARA YA KUPANGISHA PIA INAFAA KWA MAKAZI BINAFSI
BEI INAUZWA TSHS MIL 120
KWA MAWASILIANO PIGA;
+255 718 936 416
+255 768 914 118