Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 7,500,000

Kiwanja kinauzwa, Bei ni Milion 7.5 Tu, Kipo kimoja. Kiwanja kinapatikana Kigamboni Tuangoma. Ni Kiwanja kizuri sana, kimezungukwa na Nyumba za kisasa na Huduma zote zipo. 0711677199

Kiwanja kina Msingi wa vyumba vitatu, sebule, na Choo Cha public. Msingi unaweza kuuendeleza au kuufanya kifusi uchaguzi ni wako kulingana na ramani Yako. Kiwanja hakiko Mbali na Barabara , Kwa pikipik ni 1000, ukiwa huna unatembea hata Kwa mguu dakika 5.

Ukubwa ni Futi 50 X 50. Unaweza kujenga Nyumba ya kuishi na familia au kupangisha ni wewe tu. Kwa maelezo zaidi nipigie 0711677199

Khadja Pesambili | @pesambili properties limited
khadja_viwanja
Khadja Pesambili | @pesambili properties limited

Similar items by location

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 320,000

📍KIGAMBONI DARAJANI 🏠NYUMBA INAPANGISHWA 🏠SEBULE/CHUMBA/JIKO & CHOO _____________________________...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 13,000,000

PLOT FOR SALE KIGAMBONI MJIMWEMA KIBUGUMO __KIWANJA TAMBALALE MAZINGILA TULIVU MIUNDOMBINU NIMIZULI ...

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 8,000,000

KIWANJA KINA UZWA KIGAMBONI KIBUGUMO __KIWANJA TAMBALALE MIUNDOMBINU NIMIZULI SANA UMEME UPO MAJI YA...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – Kigamboni Mikwambe 🏡✨ Vyumba 2 ( 1 Master – Self Contained)✨ Sebule kubwa ...

3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 75,000,000

🏡 NYUMBA YA KISASA INAUZWA📍 Kigamboni – Mikwambe ✨ Sifa za nyumba:➡️ Vyumba 3 vya kulala (kimoja M...

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 73,000,000

HOUSE FOR SALE KIGAMBONI MJIMWEMA KIBUGUMO __VYUMBA V3 VYAKULALA KIMOJA MASTER SEBULE JIKO PUBLIC TO...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 20,000

VIWANJA VINAUZWA KIGAMBONIbei 20000 Kwa sqm 1 vipo mwembe mdogo ukooni vina ukubwa tofauti viwanja v...

3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 76,000,000

🏡 NYUMBA YA KISASA INAUZWA📍 Kigamboni – Kisarawe 2️⃣✨ Sifa za nyumba:➡️ Vyumba 3 vya kulala (Vyote...

3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 290,000,000

🏠 NYUMBA INAUZWA – KIGAMBONI GEZA ULOLE 🌴Fursa ya kipekee kwa wanaotafuta uwekezaji wenye tija! 💰...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 5,200,000

🏡VIWANJA_VINAUZWA 📍 Location: Kigamboni - MwasongaMiundombinu✅ Barabara ya gari (mita 12) inafika ...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 32,000,000

PLOT FOR SALE KIGAMBONI MJIMWEMA KIBUGUMO __KIWANJA TAMBALALE BALABALA ZA MTAA UMEME NA MAJI VIP SIT...

4 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000,000

HOUSE FOR SALE ATKIGAMBONI KISIWANI _____________________UKUBWA WA KIWANJA - SQM 1,200UMILIKI - HAT...

5 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 480,000,000

BIG HOUSE FOR SALE ATKIGAMBONI _____________________UKUBWA WA KIWANJA - SQM 650UMILIKI - HATI YA WI...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 100,000,000

Plot for Sale Location; KIGAMBONI AVIC TOWN Ukubwa Sqm 1600 Bei 100M Call; 0716279427

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 150,000,000

Lodge and Bar for Sale Location; KIGAMBONI DEGEUkubwa Sqm 1500HATI SAFIBei 150M maongezi yapoCall; 0...

4 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 480,000,000

NYUMBA INAUNZWA “”INA VYUMBA VINNE “VYOTE MUSTER “ENEO SQMT 650””OFFER M 480”LOCATION KIGAMBONI KISO...

4 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

NYUMBA YA VYUMBA 4,TSHS.75 MILIONI,KIGAMBONI-DARAJANI. Kiwanja SQM.400. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIA...

5 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 220,000,000

🏡 Kigamboni: New Prime 3-Bedroom House for Sale!Quick Sale! Spacious 5-bedroom house in Goba, locat...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 20,000

NUNUA ARDHI NA KAMPUNI YA PERFECT PROPERTY LTD.OFA ZETU BADO ZINAENDELEAMiradi yetu ya viwanja ipo ...

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 220,000,000

Nyumba inauzwa kigamboni Mahali; Kigamboni#GezaBlock24Ilivyo;,, Ina vyukba vitatu vya kulala, kimoja...