Plot for sale at Kimara, Dar Es Salaam


KIWANJA KIZURI SAANA KINAUZWA
KIMARA MWISHO
UPANDE WA TRA..
PIGA SIMU 0755831740
BEI YA KIWANJA 35ML.. MAONGEZI YAPO
PLOT SIZE SQM 850..
DOCUMENT:>>
MAUZIANO HALALI KUTOKA SERIKALI YA MTAA..
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE KIWANJA NI KM1.5.
KIWANJA HIKI KINAFAA KUJENGA NYUMBA ZA BIASHARA [ APARTMENT] AU NYUMBA YA KIFAMILIA..
GHARAMA ZA KWENDA KUONA SITE NI TSHS 20,000/=
🏘️KARIBUNI SAANA 📌