Plot for sale at Kimara, Dar Es Salaam







Punguzo la bei ‼️‼️
KIWANJA KINAUZWA NA KIKUUUBWA SANAAA KINAFAA KWA KUJENGA NYUMBA ZA BIASHARA ( APARTMENT'S)
KIWANJA KIPO KIMARA MWISHO UMBALI WA DAKIKA 10 KUTEMBEA
MANISPAA YA UBUNGO JIRANI NA KIMARA STENDI
UKUBWA SQM 4,000
AMBAYO NI SAWA NA HEKA 1 KASORO SQM 50
BEI MIL 170 , MAONGEZI FIKA KWENYE ENEO
HATI MAUZIANO SELIKALI YA MTAA
UMBALI MITER 800-900 TU TOKA MOROGORO ROAD
KUTEMBEA DAKIKA 10 TU
KARIBU SANA MTEJA
KWENDA KWENYE ENEO GHARAMA YAKE NI 30,000
PIGA SIMU NDUGU MTEJA: 0672 673363