Plot for sale at Kimara, Dar Es Salaam







KIWANJA KIZURI KIKUBWA SANA KINAUZWA HAPA KIMARA SUKA
UMBALI KM 1.5 TOKA LAMI
KINA SQUARE MITA 800
BEI NI MILIONI 60 MAONGEZI YAPO
KIPO TAMBALALE KIMENYOOKA BALAA
MAUZIANO SERIKALI YA MTAA
KINA NYUMBA WATU WANAISHI INA MAJI UMEME UPO
KWENDA SAITY 20,000
WAHI CHAPU KABLA AUJAWAIWA
CONTACT
0742260844
0657384670