Plot for sale at Kinyerezi, Dar Es Salaam


Eneo linauzwa Kinyerezi Kifuru.
Limegusa lami ๐ฅ
Sqm 7500
Bei Bil 1.1
Hati ipo โ
๏ธ
Panafaa kwa uwekezaji mbali mbali ikiwemo yard, godown, shule, hospitali, kituo cha mafuta, frame za biashara, hoteli, apartments n.k.
Ni eneo lenye thamani kubwa na panakuwa kwa kasi.
Wekeza leo kesho uzalishe.
Muhitaji piga 0688 412 890.


















