Plot for sale at Kitunda, Dar Es Salaam


NYUMBA 3 KATIKA KIWANJA CHENYE HATI, TSHS.250 MILIONI, KITUNDA.
Hizi nyumba zipo KITUNDA RELINI.
Ni jirani sana na Ukonga MOMBASA.
Hapa kuna Ghorofa 2:
Ghorofa ya kwanza ina vyumba 5.
Ghorofa ya pili Ina Vyumba 4.
Nyumba ya chini Ina vyumba 3.
Kila nyumba inajitegemea na ina Masta moja.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.1200.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
_____________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.