Plot for sale at Kitunda, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa ipo kitunda mwanagat nyumba ya vyumba 4 vyote master toilet public ketcheni stoo nyumba umeme upo maji yapo nyumba mpya nyumba Ina Hati miliki ukubwa wa kiwanja sqm 900 nyumba aipo mbali kuu nyumba bei ml 250