Plot for sale at Kivule, Dar Es Salaam


KIWANJA KIZURI, NDANI YA FENSI. TSHS.14 MILIONI
KIVULE-MWISHO.
Ukubwa wa ni SQM. 40P.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Kipo ndani ya Fensi na pia.
Pia kuna Shimo la Maji Taka.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
________________mskv
Ukihitaji kukagua taarifa mapema Tafadhali.