Plot for sale at Kunduchi, Dar Es Salaam


📢 KIWANJA KINAUZWA
KUNDUCHI BEACH 📢
📐 Ukubwa: SQM 2,100
💵 Bei ya Ofa: Milioni 400 (Maongezi yapo)
📄 Hati: Safi ya wizara
🏙️ Mtaa: Wa kifahari, usalama wa uhakika, umezungukwa na maghorofa ya kisasa pekee, mandhari maridadi na wakazi wa hadhi ya juu
📍 Location: Kunduchi Beach – Eneo tulivu, lenye huduma zote muhimu karibu
📞 Wasiliana:
dalalimbezibeach_goba_salasala
0715127812