Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam







Kiwanja kizuri sana kona plot kinauzwa:
Ukubwa-sqm 2100
Kimepimwa Hati bado
Bei-ml 150 maongezi
Location- Madale mivumoni
Umbali-km 1.5 Sala Sala mwisho wa lami
Na km 1.2 kutoka lami mpya ya mivumoni
Karibuni



















