Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam


*SHULE NZURI YA KISASA INAUZWA MILIONI 700 📍IPO MADALE FLAMINGO*
*Distance* mita 800 tu kutoka flamingo centar au madale road 
◇SIFA):Shule ina madarasa 12 ikiwemo ofisi kumbi mbili za kulia chakula wanafunzi jiko la kupikia 
◇Shule ina Gorofa moja yenye madarasa sita yote ni self yani yana vyoo ndani 
◇SHULE  ina  nyumba ya vyumba viwili maalumu kwajili ya mwalimu au mwalimu mkuu wa shule
◇SHULE  ina vyoo vya kisasa sana kama unavyoona kwenye picha 
◇SHULE  inavyoo maalumu ambavyo hutumika na wanafunzi wenye uhitaji maalumu 
◇SHULE ina Eneo la michezo kwajili ya watoto pamoja swimming 🏊♂️ pool ya kuogelea
◇SHULE ina umeme maji safi dawasco na vyumba vimeweka mfumo wa maji pamoja vyoo vyake 
◇SHULE :Ipo mtaa mzuri sana ulio jengeka vyema sana barabara safi inayopitika muda wote kiangazi na masika 
◇Eneo lote linazunguka shule limezungshiwa ukuta.
◇Plot size Sqmt 2500
◇Document; Clean TITLE DEED (Hati miliki kutoka wizara ya aridhi)
*Bei shilingi milioni 700 Mteja karibu kwa mazungumzo ya biashara*
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 50
CONTACT US:-
0716223412
0683597453




















