Plot for sale at Mapinga, Pwani


*Eneo la Ekari 4 la Housing Estate linauzwa Mapinga-Bagamoyo*
*Distance* Kutoka Bagamoyo Road mpaka kwenye eneo ni Meter 850
-Eneo ni tambarare lina nyumba ya mlinzi ndogo na lote limezungushiwa fence.
-Plot size Ekari 4
-Document; Title Deed *(99 Years)*
*Usage* Housing Estate 787 939 898
*Bei milioni 550 maongezi yapo*