Plot for sale at Mawasiliano, Morogoro


KIWANJA KIZURI KINAUZWA MJI WA KISERIKALI ( MAGUFULI CITY)
SIFA ZA KIWANJA
▫️Kiwanja kipo Jiran kabisa na wizara
▫️Kilometa Nne Kutoka Ikulu ya Dodoma
▫️Kiwanja kimepimwa na kina HATI
▫️Kinafaa kwa Uwekezaji wa Hotel, Mall, Apartment NK.
▫️Ukubwa wa sqm 912
▫️Bei ni Milion 16,000,000/=
▫️Kiwanja vya Makazi na Biashara
▫️Maji, Umeme, na barabara kiwango cha Lami
Kwa mawasiliano: 0767865054 au 0655591155 Ofisi zetu zipo barabara ya 9, Jaamal street nyuma ya Mackay house.


















