Plot for sale at Mbagala, Dar Es Salaam


TSHS MIL 150, APARTMENTS ZINAUZWA
ZIKO-DAR ES SALAAM Tz
MAHALI-MBAGALA KIZUIANI
MITA 700 TOKA BARABARA KUU YA LAMI
UKUBWA WA ENEO LIMEPIMWA SQM 600
NYARAKA ZA UMILIKI HATI SAFI YA WIZARA
ZIKO APART 4 KTK COMPOUND 1
ZOTE ZINAFANANA 1 INA;
Vyumba viwili vya kulala kimojawapo ni Master, Sebule, Jiko & Public Toilet
Umeme x Maji vyote vipo
ZOTE ZINA WAPANGAJI JAPO ZINAHITAJI UBORESHWAJI ZIWE ZA KISASA ZAIDI ASSET NZURI KIBIASHARA
BEI ZINAUZWA JUMLA TSHS MIL 150
MAONGEZI YAPO PIA
KWA MAWASILIANO PIGA;
+255 718 936 416
+255 768 914 118