Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


KIWANJA KINAUZWA
MBEZI BEACH,
KINATIZAMA BARABARA KUU YA MWENGE-TEGETA
(BAGAMOYO ROAD)
BEI YA KUUZA NI MIL 750 TU ZA KITANZANIA, MWANZO YALIKUWA MABILION HUKO KIBAOπ.
KINA HATI MILIKI SAFI, ANAYEUZA NI MTU MMOJA SIO FAMILIA, WALA HAKUNA MKOPO.
UKUBWA WA KIWANJA NI SQMT 1200.
NA KIWANJA KIPO NDANI YA FENSI.
MAWASILIANO ZAIDI:
dalalimbezibeachtz
+255655708320 WhatsApp/Call
#msomali #realestate #projects