Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


JUMBA LENYE HADHI NA HATI, VYUMBA 4,TSHS.170 MILIONI MBEZI-TEMBONI.
Ipo kilomita 2 tu kutoka Barabara ya Morogoro
Vyumba 4 ( 2 Vyoo ndani)
Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Pia ina Servant's Quarter safi.
Parking yakutosha na Gereji za Gari mbili kwa wakati mmoja.
Mtaa tulivu na kola chumba kina AC.
Kiwanja SQM. 1,200.
Umiliki ni HATI ( Title Deed) ya Wizara.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
____________mpg