Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


ENEO KUBWA ZURI LIMEPIMWA LIPO MBEZI KWA YUSUPH LIPO SEHEMU NZURI SANA LINAUZWA MILIONI 145 MAONGEZI YAPO
ENEO HILI LINAUKUBWA WA SQM 2060 NA LIPO MTAA MZURI SANA NA LIPO JIRANI BARABARA
ENEO HILI LIFAA KUJENGA NYUMBA ZA AINA ZOTE NA HASA APARTMENT HAPA NDIO PENYEWE
UKUBWA WA ENEO NI SQM 2060
DOCUMENTS HATI MILIKI SAFI KUTOKA WIZARA YA ARDHI
BEI NI MILIONI 145 (145,000,000/= ) MAONGEZI YAPO
HUDUMA YA KUONA KIWANJA ENEO. TSH 50K ( SERVICE CHARGE 50 SITE FEE)
ENEO HILI LIPO MBEZI KWA YUSUPH UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MANISPAA YA UBUNGO NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE ENEO NI DK 20 TUU KWA MIGUU



















