Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam







NI KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA 
KIWANJA KIPO MBEZI MWISHO NJIA YA MARAMBA KITUO KIFURU UMBALI WA KM 1 KUTOKA KITUONI PIA UNAWEZA KUPITIA KWAMSUGURI UKAFIKA 
UKUBWA WA KIWANJA NI 18 × 17
KIWANJA KIZURI TAMBARARE PIA KIWANJA KIPO MTAA MZURI 
BEI NI MILIONI 13 MAONGEZI YAPO 
SERVICHAJ ELFU 25
CONTACT




















