Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam


KIWANJA KINAUZWA – MBWENI USHUANI 🌿
Unatafuta sehemu ya kuishi au kuwekeza? Hiki ni kiwanja cha kipekee kilichopo katika moja ya maeneo ya kifahari sana jijini Dar es Salaam – MBWENI USHUANI!
📍 Mahali: Mbweni Ushuani
🛣️ Lami imepita mbele na pembeni – usafiri mwepesi, hakuna vumbi wala shida ya barabara
📏 Ukubwa: 1700 sqm – nafasi kubwa sana kwa ujenzi wa nyumba ya ndoto zako au mradi wa biashara
💰 Bei: Milioni 500
🗣️ Maongezi yapo – usisite kuwasiliana!
Mbweni ni moja ya maeneo yanayokua kwa kasi sana:
✅ Ni tulivu na salama
✅ Imejaa majirani wa kueleweka
✅ Karibu na huduma zote muhimu – shule, hospitali, maduka na fukwe safi
✅ Mazingira ya kijani na ya kuvutia kwa familia au uwekezaji
dalalimbezibeach_goba_salasala
0715127812