Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam


GOROFA ๐LINAUZWA LIPO MBWENI JKT LAMI NYUMBA UKUBWA WA KIWANJA NI SQM 1478 PAMEPIMWA NA HATI MKONONI ๐JUMBA LINA
VYUMBA V5 KIMOJA MASTER SEBULE JIKO CHOO NA BOY COTA YA CHUMBA NA SEBULE
HILI JUMBA LINA TUPWA NA LINA MPANGAJI. BEI NI MILION 380 NA MAONGEZI YAPO WAHI MAPENA NA EPIKA CHENI NJOO MOJA KWAMOJA TUMALIZE BIASHARA
NINDOTO YA KILA MWANAUME KUISHI JKT MBWENI TUIPENDAYAO
0719082300
0692904876
0762652066
Dalali mbezi bech afirikana SERVICE 30k