Plot for sale at Mlandizi, Pwani


Eneo sqm 12000 linauzwa
Eneo lipo mkoa wa pwani mlandizi msufini
Eneo lina nyumba mbili ndani
Eneo linaangalia moro road
Panafaa kujenga yard gereji na chochote ukitakacho
Bei mil 600
Panafaa hata Shelly
Hati mauziano selikali ya mtaa
Karibu sana mteja