Plot for sale at Mnadani, Dodoma


KIWANJA KINAUZWA MNADANI SOUTH DODOMA.
👉3km kutoka lami na mita 100 kutoka lami ya Arusha road.
👉Kipo kituo Cha mchumia juani, kinatazama barabara kubwa ya mtaa wa kibiashara.
👉Kina ukubwa wa 339sqm, kimepimwa na kina hati.
👉Kinafaa kwa kujenga fremu kwa mbele na vyumba vya kupangisha kwa nyuma. Pia lodge au mashine ya kukoboa mahindi.
👉Bei ni milioni 18.9 tu
Site visit fee 10,000
☎️0672312302