Plot for sale at Msalato, Dodoma


OFFA TUNAUZA KIWANJA HIKI HAPA KITELELA SATTELITE CITY
Je kwanini KITELELA?? Ni eneo zuri kwa sababu
✅Miundombinu ya barabara imekaa vizuri
✅Ni karibu na uwanja mpya mkubwa wa kimataifa wa MSALATO
✅ makao mapya yanayojengeka vizuri sana
✅Umbali kutoka mji wa kiserikali (MAGUFULI CITY) ni KM 5 tu.
✅kiwanja hiki kipo meter 200 tu kutoka barabara kubwa ya mzunguko inayozunguka jiji la Dodoma
✅karibu na Barabara kubwa ya mzunguko inayozunguka jiji la Dodoma . Yenye upana wa meter 150. Yenye urefu wa KM 112. Barabara hii inaunganisha Barabara zote za jiji la Dodoma
KIWANJA HIkI NI KIKUBWA SANA UNAWEZA JENGA DREAM HOUSE YAKO
NJOO SASA UWEKEZE HAPA WAKATI NI HUU
✅SQM NI 4683
✅BEI MILIONI 40
TWENDE UKAWEKEZE SASA HAPA KITELELA



















