Plot for sale at Mtoni, Dar Es Salaam


NYUMBA/MADUKA YA BIASHARA YENYE HATI, TSHS.150 MILIONI MTONI KIJICHI.
Inaangalia Barabara ya Lami.
Kiwanja kina ukubwa Muta za Mraba 400.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Frem zipo 5;
Kila moja Kodi yake ni Tshs.100,000/Mwezi.
Apartment zipo, 2 kila moja Kodi yake ni 250,000/Mwezi.
Hivyo, jumla NYUMBA HII INAZALIDHA Tshs.1,000,000 kila mwezi kama makes makusanyo yake ya KODI.
__________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu
+255714591548
__________________mpg
Maduka/Fremu zipo Tano (5)
Pia kuna Apartment 2 kila moja Ina Vyumba 2 (Masta1)
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.