Plot for sale at Ntyuka, Dodoma


*Kiwanja Kikubwa Ntyuka*
๐10km toka mjini
๐Kina ukubwa wa *sqm 2,686*
๐Kimepakana na barabara ya *mita 30*
๐Kiwanja kina *HATI*
๐Kipo karibu na makazi, umeme na maji
๐Nakitupa kwa *20m (cash)* au *mil 25* kwa malipo ya kidogo ambapo kianzio ni mil 5 inayobaki unalipa ndani ya miezi 10
๐Tuwasiliane tajiri 0672312302