Plot for sale at Ntyuka, Dodoma


Kiwanja kizuri kinauzwa Chidachi Ntyuka(Dodoma)
Sifa za kiwanja
๐Kiwanja kimepimwa
๐Km 5 Kutoka Dodoma mjini
๐Km 1 kutoka Stesheni ya Sgr
๐Umeme,maji na barabara vipo
๐Majirani tayari wapo
๐Ukubwa ni Sqm 600
๐Bei ni mil 14.5
๐Kwenda site kuona kiwanja ni bure na kila siku
Mawasiliano: 0768 333 054