Plot for sale at Pugu, Dar Es Salaam


LODGE, BAR NA MADUKA MAWILI,TSHS.350 MILIONI, PUGU.
Hii ni ENEO LA BIASHARA,
Kuna:
■Bar yenye LOUNGE kubwa na nzuri,
■Eneo la Wazi,
■Kaunta 3,
■Majiko Mawili,
■Staff Room 2,
■Lodge ina Vyumba 7 ( 4 vina Vyoo ndani)
■Umeme Mkubwa wa 3-Phase,
■Parking kubwa.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1500.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Unaweza pia kubadilisha matumizi na kurekebisha Jengo hili kulingana na mahitaji yako halisi kufanya kama Shule ya Awali, Zahanati nk.
Ni sehemu nzuri na rahisi kufikika.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
____________tp
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.