Plot for sale at Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA YENYE VYUMBA 7, TSHS.50 MILIONI, PUGU MPAKANI/ILALA.
Kiwanja kina ukubwa wa Mita za Mraba 800.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Nyumba Ina eneo kubwa lililo wazi la kuweza kujenga nyumba nyingine 2 kubwa tu ukipenda.
Vyomba vyote 7 kwasasa vina Wapangaji na ambao jumla ya Kodi inayojusanywa kwa nyumba Naima ni Tshs.210,000 kola Mwezi.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi mmoja.
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mpangaji)
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.
+255714591548
______________tP
Chumba kimoja ni Masta.
Nyumba Ina Huduma ya Umeme na Maji safi.
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.