Plot for sale at Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYA,VYUMBA VITATU(3) TSHS.90 MILIONI,PUGU 'KWA SADALALA'/ILALA, DAR ES SALAAM.
Kiwanja kina ukubwa wa Mitaza Mraba 400.
Umiliki ni wa MKATABA WA MAUZIANO.
Ipo umbali wa Mita 300 tu kutoka Barabara ya Lami.
HII NI NYUMBA YA KUHAMIA TU.
VYUMBA VYAKE VYOTE VI-3 VINA VYOO NDANI.
______________
ANGALIZO
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe Mnunuzi)
+255714591548
____________tp
Pia Ina Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani.
Huduma za Umeme na Maji zipo pamoja na Parking ndani ya Ukuta.
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.