Plot for sale at Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA KALI INAUZWA
BEI MILIONI 130Maongezi yapo.
Location Pugu Kwarahisi
Manispaa ya Ilala Dar es salaam.
UKUBWA Vyumba 4.
Kimoja master Sitting room jiko na store. Dining room na public Toilet.
Nyumba Ipo kwenye mtaa mzuri. Pia Nyumba ni ya tatu kutoka main road. Nyumba Ina umeme na maji safi ya kisima.
Nyumba Ina A/C. Kiwanja Sqm 680
Hati ya mauziano ya ofisi ya serikali ya Mtaa.
kiwanja kimepimwa na biconi zimewekwa Hati miliki ipo kwenye process.
FAIDA KWA ATAKAYENUNUA TITLEDEED INATOKA KWA JINA LA MMILIKI MPYA KUTOKA WIZARA YA ARIDHI NYUMBA NA MAKAZI
MAWASILIANO.
0657 777 771
0747 257 771
0620 579 936
Dalali Tanzania πΉπΏ
-kasinge Katonda-