Plot for sale at Pugu, Dar Es Salaam


KIWANJA SQM.1600, TSHS.36 MILIONI, PUGU KAJIUNGENI.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Kipo jirani sana na Barabara ya Lami.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
_____________tP
Mtaa umejengeka na Huduma muhimu zipo.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.