Plot for sale at Tabata, Dar Es Salaam


Plot kubwa inauzwa ipo tabata kinyerezi imetazama barabara kubwa ya kutoka mbezi kwenda kinyerezi
- Plot size 3,500 sqmts
- Documents: Title Deed
- Panafaa kwa yard ya mabasi au maroli, kujenga ukumbi, shopping mall, maduka ya kisasa au godown la kuhifadhia mizigo
- Bei TZS 480 million maongezi