Plot for sale at Tabata, Dar Es Salaam


Eneo linauzwa bei sh milion 300, maongezi kidogo yapo, kiwanja kinatazama lami kwenye kiwanja hiki kina fremu na nyumba, hapa panafaa kwa ujenzi wa nyumba za makazi, hotel, hospital private, apartments n.k, ukubwa wa eneo square meter 1220, eneo limepimwa na lina hati miliki, eneo nzuri lipo sehemu ya kibiashara, location tabata kinyerezi mbuyuni dar es salaam Tanzania
Muhitaji piga sim
Calls/ Whatsapp 0768682919
0653233641
Note:
#Ghalama ya kupelekwa kuonyeshwa kiwanja sh 30000
#Bila kusahau asilimia kumi ya dalali mchina %10 endapo ununuapo kiwanja
Tembelea kulasa zangu za istagram, Facebook & tik tok, napatikana tabata kinyerezi mbuyuni dar es salaam Tanzania
#Hakikisha unapiga sim namba hizo hapo juu ogapa matapeli