Plot for sale at Tabata, Dar Es Salaam


Eneo kubwa sana pamoja na fremu, na nyumba kubwa 7 katika nyumba mojawapo imekamilika kabisa, nyumba sita ni za kukalibia kama unavyo ona, eneo limepimwa na lina hati miliki ya wizara, ukubwa wa eneo ni eka moja, eneo linatazamana na lami, karibuni mabosi mukekeze, location tabata kinyerezi mbuyuni dar es salaam Tanzania
Muhitaji piga sim
Calls/Whatsapp 0768682919
0653233641
#Bei sh milion 750
Note:
#Ghalama ya kupelekwa kuonyeshwa eneo sh 50000
#Bila kusahau asilimia %10 ya dalali endapo ununuapo eneo
Follow me dalali mchina tabata kinyerezi istagram, Facebook & tik tok, napatikana tabata kinyerezi mbuyuni dar es salaam Tanzania
Hakikisha unapiga sim namba hizo hapo juu ogopa matapeli