Plot for sale at Tabata, Dar Es Salaam


LOCATION: TABATA CHA'NGOMBE STAND
UKUBWA WA KIWANJA: SQM 600
✅️FULLY DOCUMENTED (HATI IPO)
BEI: MIL 165
APARTMENTS ZIPO MBILI NDANI YA FENCE
- Ipo ndani ya fence
- Kuna nyumba yenye vyumba vinne ndani
- Kuna boycotta
- Maji yapo bila shida
- Parking
- Ni tambarare
- Mtaa mzuri
- Eneo ni very potential
PANAFAA KWA UJENZI WA NYUMBA ZA BIASHARA (APARTMENTS) AU MAKAZI BINAFSI
KARIBU SITE TUFANYE BIASHARA
#WekezaKwenyeArdhi
Muhitaji piga
0657 777 771
0620 579 936