Plot for sale at Tandika, Dar Es Salaam


MADUKA 30,VYOO 4-VYA BIASHARA,TSHS.350 MILIONI,TANDIKA.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.350.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Hii ni Biashara endelevu inayoingiza Pesa.
MCHANGANUO:
Kodi Maduka ya mbele ni Tshs.150,000/Mwezi
Maduka ya bavuni Kodi ni Tshs.100,0000/Mwezi
Maduka ya Ndani Kodi ni Tshs.80,000/Mwezi
Makusanyo ya Vyoo pekeyake ni kati ya 80,000-100,000/Siku
Wahi usijeukaikosa hii.
_________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
______________mpg


















