Plot for sale at Vigwaza, Pwani


Kituo cha mafuta (petrol station) kinauzwa.
Kipo vigwaza, mbele kidogo ya mizani.
Ina pump 3 petrol
Pump 6 dizel.
Kila tank ni 2,500 liters
Ina car service.
Eneo lina Ukubwa wa 10,162 SQM
Lililojengwa sheli ni 4,000 SQM.
Eneo lililobakia 6,162 SQM.
Eneo lina hati (title deed) miaka 99.
Bei bil 1.2.
Maongezi yapo.
Mawasiliano 👇
➡️☎️0679 077638