Plots for sale at Kibaha, Pwani


Viwanja Vilivyopimwa Vinauzwa Kibaha Boko Temboni, jirani na Sofu. Bei kwa square meter ni shilingi 17,500/= kwa malipo ya miezi 6. Ni km4.5 toka Morogoro Road via Tumbi Hospital
Mteja wa malipobya cash ni shilingi 16,500/=
Mfano. Kiwanja chenye ukubwa wa 20 x 20 au 16 x 25 chenye 400m² kwa malipo ya miezi sita ni shilingi 7,000,000/=,kwa malipo ya Cash ni shilingi 6,600,000/=
Tukutane site.
Ukweli na uhakika
Angalia palivyopigwa pasi! Pamenyooka shumwiiiii....
Mawasiliano
0659 972 868
0763 172 814



















