Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


Miradi Yetu ipo:
Kigamboni Gezaulole
๐ขumbali wa km 12 kutoka ferry
๐ขHuduma za kijamii maji, umeme n.k inapatikana
๐ขBei Tsh 35,000 kwa sqm unaweza kulipia cash au installment
๐ขOffer yetu kwa wateja tunatoa hati bure kabisa ndani ya mwezi pindi utakapo maliza malipo
Bagamoyo Mataya
๐ขViwanja vinaukubwa wa sqm 400-500
๐ขHuduma zote za kijamii zinapatikana maji, umeme n.k
๐ขMalipo kwa cash ni Tsh 4,000,000 na ukilipia kwa awamu utalipia kwanza asilimia 50 kiasi kitakachobaki
utalipia ndani ya miez 6
๐ขUmbali kutoka lami km 2.5
Kibaha Visiga
๐ขBei tsh 3,000,000- 3,500,000 Kwa sqm
๐ขHuduma zote za kijamii zinapatikana
๐ข Umbali wa 4km kutoka bzrabara ya lami
Kwa maelezo zaidi
Call 0716998200