Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


🔥 MRADI WA VIWANJA – KIGAMBONI, KIMBIJI PUNA (AWAMU YA PILI) 🔥
Fursa adimu ya kumiliki kiwanja chenye HATI kwa bei nafuu!
Je, unatamani kumiliki ardhi eneo lenye kasi kubwa ya maendeleo?
Usisubiri kesho – chukua hatua leo! 🔑
⸻
🌟 SIFA ZA MRADI
✅ Mita 300 tu kutoka Barabara Kuu inayowekwa lami
✅ Viwanja vimepimwa na vina Survey Approval
✅ Barabara nzuri, zinapitika mwaka mzima
✅ Huduma zote muhimu zipo karibu:
⚡ Umeme
💧 Maji
🏫 Shule
🏥 Hospitali na huduma nyingine za kijamii
⸻
💰 BEI NA MFUMO WA MALIPO
💎 Cash: Tsh 12,000/= kwa sqm
💎 Kwa Awamu: Tsh 15,000/= kwa sqm
📆 Lipa hadi miezi 12
💵 Anza na Tsh 1,000,000/= tu
(Unaweza kuweka zaidi kulingana na uwezo wako)
⸻
📍 Ofisi zetu:
Mwenge – Bamaga, Dora Tower, Ghorofa ya 4
📞 Wasiliana nasi sasa:
☎️ 0768 579 000
☎️ 0626 783 900
📲 Simu na WhatsApp zinapatikana
viwanja_nafuu imani.luvanga
#realestate #hudumabora #perfectproperty #viwanjakigamboni #mafanikio


















