Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


🔹UPDATED MAP NEW PTOJECT ZEBRA PLOT NO 19,20,21,22 SOLD OUT 🔥🔥🔥🔥🔥HATUPOI
🔹FURSA CREDIT SERVICES LTD.
NI KAMPUNI BORA KABISA NA KUBWA INAYOTOA HUDUMA YA VIWANJA NA MASHAMBA KIGAMBONI.
😌😌😌 MTU WA AINA YOYOTE ANAWEZA MILIKI KIWANJA KUTOKA FURSA CREDIT SERVICES LTD NA KUNA NJIA MBALIMBALI YA KUWEZA KUKAMILISHA MALIPO HAYO
.
1. CASH/ PESA TASILIMU.
HAPA MTEJA ANAWEZA LIPIA KWA CASH HADI MIEZI 04 TU MFANO KIWANJA CHA 2.5 M ANAWEZA LIPIA KWA MIEZI MINNE KAMA IV,:
1M MWEZI WA KWANZA
LAKI5 MWEZIWA PILI
LAKI TANO WATATU
LAKI TANO WANNE
NA BAADA YA KUMALIZA MALIPO ATAPATA HATI YAKE HALISI
.
MFUMO WA PILI NI MALIPO YA KIDOGO KIDOGO AMBAYO YATALIPWA NA MTU WA HALO YA CHINI KAMA IFUATAVYO
LAKI 7 MWEZ WA KWANZA THEN KILA MWEZ ATALIPIA LAKI 64 TU.
TUNAPATIKANA KINONDONI BIAFRA DELTA HOUSE FLOOR NO 06